cyhper_kyrpton
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 138
- 31
Wakuu naomba kuuliza ofisi za Tahmeed hapa Arusha zipo pande zipi?
Ipo hapo jirani ya Selian Hosp "Stand ya Dar Xpress"..chumba na 2,wamepakana na Ngorika,pembeni ya Buddies RestaurantWakuu naomba kuuliza ofisi za Tahmeed hapa Arusha zipo pande zipi?