Schrodinger Cat
Member
- Nov 23, 2011
- 34
- 2
wanajamvi heshima kwenu.
Nia ya kuanzisha thread yangu ni kutaka kujua zilipo ofisi za bodi ya mikopo ya wanafunzi. Ninalo tatizo nyeti ambalo utatuzi wake ni kupata ufafanuzi kutoka kwao, nashukuru kwa kusoma thread hii na natumaini msaada wenu.
Asante.
Wanajamvi heshima kwenu.
Nia ya kuanzisha thread yangu ni kutaka kujua zilipo ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi. Ninalo tatizo nyeti ambalo utatuzi wake ni kupata ufafanuzi kutoka kwao, Nashukuru kwa kusoma thread hii na natumaini msaada wenu.
Asante.
Jaman kama hukutaka kumjibu ungracha tu sio vizuri, mwaego ofisi zao sipo msasani mwisho unapanda magari ya msasani unashuka macho then unatembea mbele kidogo hatua chache au omba msaada watakushusha palepale.
sio kweli ww ndo hutaki kumsaidia ofisi za heslb ziko mwenge nyuma ya maduka ya vinyago kuna ghorofa mpya ya vioo msasani walihamisha kitambo tu,na mm nmeenda hapo ofis zao mpya nikasaidiwa vizuri tu
Ahahah lol basi nisamehe kumbe nipo nyuma ya wakati, dikujua wamehama... haya nafuta kauli yangu.
Watanzania tubadilike jamani,hivi ni kweli mtu unaweza kuingia JF kuanzisha mada kama hii wakati bodi wana website na mpaka leo tangazo lao la kuelekeza mahali ofisi yao ilipo ikiwa ni pamoja na picha yake?.Tujishughulishe kidogo ingekuwa umeitwa kwenye usahili wa kazi ungeyafanya haya?
Ukigoogle?
Nenda maeneo ya mwenge, ukiwa rd ya sam nujoma utaona jengo (gorofa) lao... Ukiwa unatokea ubungo jengo lao lipo mkono wa kulia...
salaam,
naomba kujuzwa ofisi za loan board zipo maeneo gani.
Asante