Ofisi za Act Wazalendo Iringa

Ofisi za Act Wazalendo Iringa

karama kaila

Senior Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
122
Reaction score
60
attachment.php

Ofisi ya Mkoa Iringa ipo Iringa mjini Dodoma Road kituo ni Idara ya maji (iruwasa) eneo ni Gangilonga.
Karibuni sana
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1432443451.684187.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1432443451.684187.jpg
    40.7 KB · Views: 1,597
Mbona naona fence tu ilopakwa rangi za act wakat Ofc hakuna
 
mbona hata CHADEMA tangia ianzishwe haijajenga hata ofisi moja nchi nzima zaidi ya kuishia kupanga kwenye vibanda. hata ofisi kuu ya akina Mbowe jengo lile siyo LA kwenu mmepanga. hivyo kabla hujaicheka ACT washauri kwanza chama chako kijenge hata ofisi moja tu
 
kwani mtoa mada ni mwanachadema mpaka point of reference iwe chadema na isiwe TLP
 
kwani mtoa mada ni mwanachadema mpaka point of reference iwe chadema na isiwe ACT
 
Mbona naona fence tu ilopakwa rangi za act wakat Ofc hakuna

Kitendawili! Tega! Nyumba yangu haina mlango! Jibu ni YAI! Umepata. Mkuu mlango wa kuingilia YAI Hilo uko wapi?
 
kwani mtoa mada ni mwanachadema mpaka point of reference iwe chadema na isiwe TLP

Adui yetu mkubwa ni Chadema kama mlivyoutangazia umma, hivyo msijifichefiche, aliyetoa mada hii ni mwanachadema
 
safi sana wazalendo, huo mkono unamaanisha wengine ndio wazalendo sio ninyi
 
Back
Top Bottom