chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 548 Reaction score 74 Dec 29, 2014 #1 Habarini za jioni wanafamilia ya JF, naombeni kufahamishwa kwa anayejua ofisi za tecno hapa Dar zinapatikana wapi
Habarini za jioni wanafamilia ya JF, naombeni kufahamishwa kwa anayejua ofisi za tecno hapa Dar zinapatikana wapi
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Dec 29, 2014 #2 kariakoo
chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 548 Reaction score 74 Dec 29, 2014 Thread starter #3 Mgumu04 said: kariakoo Click to expand... Kariakoo mtaa gani
Babeake JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 465 Reaction score 159 Dec 30, 2014 #4 barabara ya msimbazi opposite na kituo cha police
Foundation JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,420 Reaction score 613 Dec 30, 2014 #5 Una shida gani? Huwenda tukakusaidi hapa bila kufika huko
chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 548 Reaction score 74 Dec 30, 2014 Thread starter #6 Foundation said: Una shida gani? Huwenda tukakusaidi hapa bila kufika huko Click to expand... Simu ya tecno F7 imegoma kuwaka nimeshauriwa niwaone dukani kwao ila kama kuna mjuzi nashkuru kupata msaada
Foundation said: Una shida gani? Huwenda tukakusaidi hapa bila kufika huko Click to expand... Simu ya tecno F7 imegoma kuwaka nimeshauriwa niwaone dukani kwao ila kama kuna mjuzi nashkuru kupata msaada
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Dec 30, 2014 #7 chokambayaa said: Simu ya tecno F7 imegoma kuwaka nimeshauriwa niwaone dukani kwao ila kama kuna mjuzi nashkuru kupata msaada Click to expand... sizani kama utasaidiwa subiri watu wa jf wakusaidie
chokambayaa said: Simu ya tecno F7 imegoma kuwaka nimeshauriwa niwaone dukani kwao ila kama kuna mjuzi nashkuru kupata msaada Click to expand... sizani kama utasaidiwa subiri watu wa jf wakusaidie
chokambayaa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 548 Reaction score 74 Dec 30, 2014 Thread starter #8 khalfan56 said: sizani kama utasaidiwa subiri watu wa jf wakusaidie Click to expand... Poa ngoja nisubirie
khalfan56 said: sizani kama utasaidiwa subiri watu wa jf wakusaidie Click to expand... Poa ngoja nisubirie