Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

Hawa jamaa mimi ndio nimewajua leo,wamekuja hapa ofisi za NAOT Dodoma,wametulisha kiapo cha utunzaji siri za serikali,wametuchukua fingerprint na kutujazisha mafomu kibao kwa ajili ya vetting..
Walivyo kaa kaa tu nadhani ni wing ya TISS hii.
 
Wamekaa kaaje kwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…