Ofisi ya spika tabora vipi?

Ofisi ya spika tabora vipi?

kombati

Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
38
Reaction score
9
raisi kikwete amesahau kuwa alkwenda kufungua jengo la ofisi ya spika urambo tabora kwa samweli sitta, akabariki jamaa apigwe chini, sasa lile jengo alilolifungua wameamua kufanyia shughulu gani pamoja na ukweli kuwa kuna milioni kama mia tatu za walipa kodi zilipigwa katika ujenzi wa jengo la spika urambo, tabora.
 
wanachania mbao na kulinia hasali... he he he
 
Ni ukumbusho kwamba palitokea spika kutoka Urambo Tbr! watalii wa ndani na nje watatembelea kujionea mambo makubwa (mazuri na mabaya kwa taifa) yaliyofanywa na spika huyo.
 
Back
Top Bottom