KERO Ofisi ya RITA Temeke huduma za kutoa vyeti vya kuzaliwa kuna changamoto kubwa

KERO Ofisi ya RITA Temeke huduma za kutoa vyeti vya kuzaliwa kuna changamoto kubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
 
Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
Niliomba kubadilishiwa cheti kutoka cha zamani kuja kipya na kulipia kabisa wilaya ya Ubungo lakini karibia miezi sita hakuna maendeleo yeyote
 
Toa pesa bana achana na habari za mfumo
Iyo nguvu ulotumia kuja kuanzisha uzi humu ungeitumua kuwatafutia elf10/20 ukapata cheti chako na ukaendelea na maisha yako,

Sio kila ugomvi lazma upigane ugomvi mwingne unapima dhamani yake
 
Kuna ofisi yo yote ya umma ambayo unaweza kwenda na ukapatiwa huduma kama binadamu? Unafika watu wamenuna visirani tupu utafikiri umeenda kuwakopa hela wakati hizo kazi waliomba wenyewe.
 
Back
Top Bottom