Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Ofisi ya Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, imesema kuwa kuna jaribio la kuchukua madaraka kwa njia isiyo halali na kwa kutumia nguvu nchini humo.
Masaa machache baadaye, kikosi cha jeshi kinachojulikana kama CAPSAT kilitangaza kwamba kimechukua uongozi wa kamandi kuu ya jeshi, na sasa kinadhibiti majeshi yote – ya nchi kavu, anga, na majini.
Kikosi hiki ndicho kilichochukua nafasi muhimu katika mgogoro wa kisiasa wa mwaka 2009, uliomsaidia Rajoelina kupanda madarakani.
Madagascar ilianza kushuhudia maandamano yanayoongozwa na vijana mnamo Septemba 25, yakilalamikia ukosefu wa maji na umeme, lakini sasa yamepanuka na kugusa masuala mapana zaidi ya kutoridhika na serikali ya Rajoelina kuhusu ukosefu wa ajira, rushwa, na kupanda kwa gharama za maisha.
Soma Pia:
Alilaani “kwa maneno makali zaidi” kile alichokiita jaribio la kuidhoofisha nchi, na akatoa wito kwa taasisi zote muhimu za taifa kushikamana kulinda utaratibu wa kikatiba na mamlaka ya kitaifa.
CAPSAT, kupitia ukurasa wake wa Facebook, ilitangaza kumteua Jenerali Demosthene Pikulas kuwa Mkuu mpya wa majeshi.
Wakati huo huo, waandamanaji wamekusanyika katika uwanja mkuu wa mji mkuu, Antananarivo, kwa siku ya pili mfululizo.
===============
The office of Madagascar's President Andry Rajoelina has said an attempt to seize power illegally and by force is under way in the country.
Hours later, an army unit known as CAPSAT claimed that it had taken over the leadership of the military command, and was now in control of all the armed forces - land, air, and naval.
This is the same unit that played a crucial role in the 2009 Malagasy political crisis, which helped Rajoelina rise to power.
Madagascar was first hit by youth-led protests on 25 September against water and power cuts, but they have escalated to reflect wider dissatisfaction with Rajoelina's government over high unemployment, corruption, and the cost-of-living crisis.
Rajoelina's statement said "there is an attempt to seize power at this time in the territory of the Republic, in complete violation of the Constitution and democratic principles," in a translation.
He condemned "in the strongest possible terms" what he called an attempt to destabilise the country. He also called on all of the nation's key forces to unite in defending the constitutional order and national sovereignty.
CAPSAT said it had appointed a new chief of staff, Gen Demosthene Pikulas, according to a statement issued on its Facebook page.
Protesters have gathered at the main square in the capital, Antananarivo, for the second consecutive day.
This is a significant development, as they had failed to reach May 13 Square, the focal point of previous uprisings, until now.

- Rais wa Madagascar amteua Jenerali wa Jeshi kuwa Waziri Mkuu mpya, licha ya waandamanaji kumtaka ajiuzulu
- Rajoelina wa Madagascar amepinduliwa na jeshi