Mkuu ukipata ofisi nistue tufanye biashara ya ferniture za ofisini kwa bei chee na uhakika .Habari ndugu zangu.
.
Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi.
Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar Amesikiakuna office inapangishwa basi naomba aje Pm tuelewane.
Office inayohitajika.
Iwe sehemu ya kufikika kirahisi,kuwe Na Car parking,
Ofisi iwe nzuri ambayo inajitegemea
Iwe Na Maji,choo,bafu,umeme wa uhakika.
Maeneo kati ya Bamaga,mwenge,Ubungo.
Au mahali ambapo pataonekana panafaa Na kuwawezesha wafanya kazi kufikika kirahisi kwa mana ya Centre ya mji.
Tafadhari yeyote mwenye kufahamu hata kama sio Dalali lakini either unahama ofisi kama hiyo tafadhari nijulishe Ili Tuyaongee zaidi huko Pm.
Natanguliza shukrani ya dhati.
Anataka kukuuzia furniture, utumie kwenye ofisi yako mpya,au unataka utumie zile za mwaka '47?Sijakuelewa.Sisi hatufanyi furniture
Ofisi yenu haitaji ferniture za kukalia pamoja na meza?Sijakuelewa.Sisi hatufanyi furniture
Nashukuru sana kwa kunielewa mkuu.Oooh
Nilikuwa busy Kidogo sasa nimempata
Nitawasiliana naye.
Barikiwa
Habari ndugu zangu
.
.
Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi.
Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar Amesikiakuna office inapangishwa basi naomba aje Pm
tuelewane.
Office inayohitajika.
Iwe sehemu ya kufikika kirahisi,kuwe Na Car parking,
Ofisi iwe nzuri ambayo inajitegemea
Iwe Na Maji,choo,bafu,umeme wa uhakika.
Maeneo kati ya Bamaga,mwenge,Ubungo.
Au mahali ambapo pataonekana panafaa Na kuwawezesha wafanya kazi kufikika kirahisi kwa mana ya Centre ya mji.
Tafadhari yeyote mwenye kufahamu hata kama sio Dalali lakini either unahama ofisi kama hiyo tafadhari nijulishe Ili Tuyaongee zaidi huko Pm.
Natanguliza shukrani ya dhati.
IPO wapi Na sh.Ngapi
BaridiAksante nitakupia kesho
PoaHaaa haaaaaa Baridi Tena
Haya aksante Moto