Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
UHAINI ? Jinai ambayo adhabu yake ni Kunyongwa .
Kwa Tanzania mambo ni tofauti kabisa, Mwabukusi Alisema, nitawaongoza watanzania kwenye maandamano suala la DP World, eeehhh maajabu Polisi na DPP wakamfungulia Shitaka la UHAINI.
UHAINI imekua ni lugha laini na nyepesi sana kutajwa na DPP ,PT .
Kwa hakika Heri Nguo kuraruka kuliko AKILI.