Salaam wadau wa jukwaa hili na wanaJF kwa ujumla.
Kuna ofisi ndogo iko ktk mchakato wa kuanzishwa maeneo ya sinza Dar ya kutolea huduma hasa ushauri wa mambo ya afya n.k
Anahitajika volunteer mmoja mwenye ujuzi na elimu yeyote kati ya hizi: biashara, marketing, customer care and front office management, secretarial, hotel management.
kwa sasa ofisi hii mpya na haina uwezo wa kuajiri ila mtu aweza kufanya part time on volunteer basis na ofisi iko tayari kulipa at least nauli ya sh 10,000/- per day at most kwa miezi 3 kuanzia Jan 2015.
kama una ndugu au rafiki au jamaa mwenye nafasi tafadhali awasiliane nami kupitia barua pepe mtzhalisi02@gmail.com ikiwa ni pamoja na kutuma CV yake
asanteni sana