Ofisi kuu ya Mabasi ya Taqwa iko wapi?

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,149
6,989
Habari za asubuhi wana JF,

Yoyote anayefahamu Ofisi za Taqwa bus, maeneo ya Ilala, yaani wanapolaza mabus yao ilipo, na inatizamana na kitu gani maarufu kama vile hotel au.
 
hivi ndo hao wana bus zinaenda Burundi?kuna basi yao moja inaenda Burundi aisee imechoka .kama ndo uko unaenda sikushauri uende nalo
 
Mtaa wa lindi-ilala, hakuna kituo cha mafuta ni barabarani kabisa. ukifika hata ukiulizia watu watakuelekeza huwezi potea...
 
Mtaa wa lindi-ilala, hakuna kituo cha mafuta ni barabarani kabisa. ukifika hata ukiulizia watu watakuelekeza huwezi potea...
Kumbe sio mtaa wa Lindi ni Uhuru,nimefika maeneo na kuelekezwa hapo,nimeshafika mda Hui,Asante
 
Back
Top Bottom