Ofisi inauzwa

mbalamwehu

Member
Oct 5, 2016
64
16
Habari wakuu, nauza ofic niliyokuwa nikiitumia kuingiza kipato, ni library &play station,
ndani kuna
ps 2 tatu
flat screen nch 21 mbili
tv ya chogo nch 21 moja
Desctop complete 1
pads
flash 3 gb 16, 8 &4
memory card za ps2 4
CD zipo kibao ila baadhi zimechoka
Na vitu vingine vingi nitatoa bure
Chumba cha biashara nitakukutanisha na mwenye nyumba kama utataka kunitumia ila kitahitaji marekebisho
sababu ya kuuza ni usimamizi mbovu
Bei ni 1000000 tuu, maongezi yapo
0719532007

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usifanye mpango wa play station 4 na CD kwa baadhi ya game nzuri zinazopendwa na flash GB 64 moja tu, pia ukawa na x box 1, hakika utapata wateja wengi.

Jaribu kuwa mbunifu katika kazi yako.
 
Kwanini usifanye mpango wa play station 4 na CD kwa baadhi ya game nzuri zinazopendwa na flash GB 64 moja tu, pia ukawa na x box 1, hakika utapata wateja wengi.

Jaribu kuwa mbunifu katika kazi yako.
Niliweka pay 2, ila kwa hasira nikauza bei ya kutupa kutokana na mzaha mzaha wa usimamizi, vipi kama ningeweka ps4 yenye thamani zaid ya 1 million, ningelia hakika

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Niliweka pay 2, ila kwa hasira nikauza bei ya kutupa kutokana na mzaha mzaha wa usimamizi, vipi kama ningeweka ps4 yenye thamani zaid ya 1 million, ningelia hakika

Post sent using JamiiForums mobile app
Mean ps 3

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mean ps 3

Post sent using JamiiForums mobile app
Play station 3 ni laki 5,
Na play station 4 ni laki 8.

Ndio ni lazima ungeingia hasara kubwa ila bado unayo nafasi ya kubadilisha ama kutengeneza vyema na ikavutiwa na kupendeza ni ubunifu tu siku zote.
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu, ila ushauri umekuja little late, nimeuza ps3 na tv zake tayar

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom