Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,118 Jun 27, 2017 #2 mbona umeifanya ofisi kama nguo!? Oval office inamfaa yyte ambaya ameshinda uchaguzi.
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jun 27, 2017 Thread starter #3 Iceman 3D said: mbona umeifanya ofisi kama nguo!? Oval office inamfaa yyte ambaya ameshinda uchaguzi. Click to expand... Ni kweli mkuu, lakini naamanisha his reign in general ilikua poa sana
Iceman 3D said: mbona umeifanya ofisi kama nguo!? Oval office inamfaa yyte ambaya ameshinda uchaguzi. Click to expand... Ni kweli mkuu, lakini naamanisha his reign in general ilikua poa sana
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,118 Jun 27, 2017 #4 donlucchese said: Ni kweli mkuu, lakini naamanisha his reign in general ilikua poa sana Click to expand... yeah uko entitled kwa opinion yako but i think he was just a good person with gud speeches ila alikuwa kiongozi wa kawaida kabsa
donlucchese said: Ni kweli mkuu, lakini naamanisha his reign in general ilikua poa sana Click to expand... yeah uko entitled kwa opinion yako but i think he was just a good person with gud speeches ila alikuwa kiongozi wa kawaida kabsa
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,262 Reaction score 6,826 Jun 28, 2017 #5 Hana issue tena huyo.. Ofisi inakaliwa na mwingine maisha yanaendelea.