Ofisa Mtendaji adaiwa kumpa mimba mwanawe

Daa mabinti wa saiz hatari anaenda kulala na mtu umri sawa na babaake kweli aya sasa.mwennye mzigo anaenda jela mzigo anamtunzia mwingine
 
Ww binti kama hyu hawezi kumtaja huyu mtu makusudi hatakama hatukuko kule lazima mzigo wa jamaa
 
Kweli kabisa. Tena kama baba mzazi amelivalia njuga probably ni kwa sababu mke wake aliolewa na jamaa. Tusubiri upelelezi ukamilike ndio tuhukumu.
 
Mkuu haya mambo huwa yanashadadiwa na watu wasio na uelewa,Mimi kama mwalimu huwa tunakumbana na mambo kama haya,hii ni pale unapokuwa na msimamo Fulani dheni tuhuma za ngono zinatumika kukudhoofisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa ni wanangu sana
Mungu mwema lakwwnza limeisha

Hili nalo litaisha jamaa ni mtu poa sana sijawah ona basi tu jamii zetu nazo shida


Ila nasema jamaa ni mtu mzur sana poa sana sijawah ona Mungu asimame kwa uaminifu jamaa apone katika tule kuku na kuzigongesha glass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi kwa kusoma hiyo habari inaonekana huyu baba wa mzazi ana bifu fulani na huyo mumw mwenzake. Unajua kinachotuponza sisi waafrika ni unafiki. Utakuta watu wanaolaani na kusema afungwe maisha wao huwa wanafanya mambo mabaya tena makubwa kuliko hili. Siyo kwamba natetea kitendo cha kutembea na binti wa kambo hapana kabisa ila sitaki watu watumie hisia kuhukumu.
 
Kesho njoo center usevya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…