Ofisa habari

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,827
23,110
Katika fani na taaluma fulani huwa kuna watu tunaovutiwa nao(ROLE MODEL).Je,ni afisa habari gani wa klabu ya mpira wa miguu au taasisi yeyote akihojiwa majibu anayotoa ni burudani tosha na unaridhika?
 
Back
Top Bottom