msemakweli2 JF-Expert Member Jul 28, 2013 1,627 1,880 Jan 8, 2016 #2 Daaaah pole zake namfahamu huyu mzee, ni mzee flan mweusi, mrefu ana pickup double kibin nyekundu anapenda penda hela hivi singidadodoma said: Click to expand...
Daaaah pole zake namfahamu huyu mzee, ni mzee flan mweusi, mrefu ana pickup double kibin nyekundu anapenda penda hela hivi singidadodoma said: Click to expand...
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Jan 8, 2016 #3 Bado kwenye TIN. Kama huna buku hamsini utazungushwa weeeeeeeeeee!
Possibles JF-Expert Member Sep 22, 2011 1,919 2,410 Jan 8, 2016 #4 Nchi nzima tungekuwa tunazingatia mkataba wa huduma kwa mteja unavyotaka tungekuwa mbali mnoooooo.
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Jan 8, 2016 #6 Mbona hatusikii walio pandisha twiga wetu ndege Na kuua tembo wanachukuliwa hatua??
K kindafu JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,346 1,678 Jan 8, 2016 #7 habari ya hapa said: Mbona hatusikii walio pandisha twiga wetu ndege Na kuua tembo wanachukuliwa hatua?? Click to expand... Nafikiri tutoe muda kidogo kwani maovu yote hayawezi kushughulikiwa kwa wakati mmoja!
habari ya hapa said: Mbona hatusikii walio pandisha twiga wetu ndege Na kuua tembo wanachukuliwa hatua?? Click to expand... Nafikiri tutoe muda kidogo kwani maovu yote hayawezi kushughulikiwa kwa wakati mmoja!
congobe JF-Expert Member May 31, 2012 561 131 Jan 8, 2016 #8 Ndo habari ya hapa said: Mbona hatusikii walio pandisha twiga wetu ndege Na kuua tembo wanachukuliwa hatua?? Click to expand... Walopandisha Twiga Ndege Kuna jamaa anaitwa Matonya issues ya Sembe kule China hivi yumo ktk list ya walokamatwa hivi karibuni ! Au ndo hawaguswi
Ndo habari ya hapa said: Mbona hatusikii walio pandisha twiga wetu ndege Na kuua tembo wanachukuliwa hatua?? Click to expand... Walopandisha Twiga Ndege Kuna jamaa anaitwa Matonya issues ya Sembe kule China hivi yumo ktk list ya walokamatwa hivi karibuni ! Au ndo hawaguswi