Officially divorced

Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Nipe namba sake.
 
Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.

Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Tatizo watoto wadogo mnakimbilia kuowa kwa sababu vichupa kiunoni vimejaa mnadhani ndoa ni jambo la masihara.

Kwenye  bold wewe ungekuwa umeowa kweli mke ungesema namna ulivyopanga kuishi na watoto uliomzalisha huyo mtalaka wako Ila kwa sababu hujawahi kuowa uliokota mwanamke mtaani ukaweka ndani ndo maana umehitimisha kwa kwenda kulewa.
 
Hujui kwanini nasherehekea ukija kuoa utanielewa
 
NO WIFE, HAPPY LIFE
 
Attachments

  • st,small,507x507-pad,600x600,f8f8f8.jpg
    24.9 KB · Views: 12

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…