Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Kati ya hizi ngoma ipi kali ya kwanza ya pili au ya tatu. Ali Kiba ana jina kubwa sana na kiki ya bifu pia anayo. Asley wala Beka hawana kiki ya kulelewa na wamama au hata ya bifu.

Seduce Me

Sikinai

Likizo​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…