Huku wazee wa Old Trafford wakiendelea kumtazama Louis Van Gaal kwa jicho la 'sack him' na Chelsea wakiwa chini ya kocha wa kumi wa 19 wa kipindi cha mpito mholanzi 'Guus Hiddink' akisaidiana kwa karibu sana na Mbongo mwenzetu 'Didier Drogba'; vijeba vya Etihad vimeonyesha kila dalili ya kunasa saini ya Pep Guardiola baada ya kung'atuka Alianz Arena mwishoni mwa msimu huu.
Japo bado kuthibitishwa rasmi lakini vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kuwa Pep Guardiola rasmi atatua Etihad.
Wapenzi na wanazi wa soka, tuendelee kufuatilia!
Japo bado kuthibitishwa rasmi lakini vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kuwa Pep Guardiola rasmi atatua Etihad.
Wapenzi na wanazi wa soka, tuendelee kufuatilia!