Utambulisho wa Pep Guardiola Manchester city ni balaa.

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola ametambulishwa rasmi klabuni hapo jana mbele ya maelfu ya mashabiki wa klabu hiyo huku mwenyewe Pep Guardiola akiahidi kuandika historia klabuni hapo.
 
Mkuu watu wanasubiri kuona je huyu ni kocha kweli au anakutana na wachezaji wazuri katika timu
Na ndio maana akachagua Man city co Arsenal au Liverpool. Maana city ana uwezo wa kupata kile anachokitaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom