SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Niseme tu huu Ni mwendelezo wa jitihada za kuidhoofisha Ofisi ya CAG. Mlianza kwa kukata almost 50-70% ya budget ya hii Ofisi, why? Sababu mnazijua vizuri ninyi wenyewe. Mmejitahidi Mara nyingi kumpinga ama kuzipinga Reports za CAG bila mafanikio, integrity yao imesimama. Mmetunga sheria ya Madini ila CAG mmekataa asikague, why? Sababu mnazijua wenyewe. Kama Hawa Vijana wa hio Ofisi wanapokea rushwa, hayo Ni matokeo ya kukata budget yao kila mwaka. Juhudi zenu za kuidhoofisha hiyo Ofisi hayo ndio matokeo. Ninachojua, kama CAG anakula rushwa sehemu ambazo TAKUKURU, TISS wapo, hiyo Ni Kejeli kwa vombo vyetu vya Dola na Serikali yake. CAG ndilo jicho la Fedha za Watanzania, ndio maana wametuonesha kuwa Kuna jambazi limeondoka na 1.5 Trillion!ukiangalia logo yao inaonyesha kama ndio jicho la serikali, but unfortunately hicho ndio kitengo kibaya kutokea katika nchi hii na adui mkuu wa maendeleo ya nchi yetu
ni kivipi sasa ofisi ya CAG anahujumu uchumi yeye na vijana wake
hawa watu wamepewa jukumu la kuonyesha picha nzima ya maeneo mengi ya sector za serikali ili kujua mapungufu yaliyopo na wizi uliopo katika hizo sehemu za kiserikali
ila hii ofisi ya mkaguzi mkuu na vijana wake na ninasema mkaguzi mkuu sababu yeye ndio anaesimamia hio ofisi iko hivi hawa watu kwa Mfano wakifika katika ofisi za Halmashauri cha kwanza either wanaomba pesa kwanza kabla ya kuanza kazi au hizo Halmashauri husika wanawashikisha pesa na kuwaambia wasiweke hoja ambazo ni hatarishi
sasa effect ya huo mchezo ni nini ni kwamba wanabariki wizi na upotevu mkubwa wa pesa kutoka sehemu mbalimbali za kiserikali mfano Halmashauri yenye budget ya sh eg Bilion moja wanaweza kupoteza milioni 400 na hawa vijana wa CAG wakafunika huo wizi na kupokea Rushwa ya milioni 20 sasa fikiria kwa nchi nzima ni shilingi ngapi serikali inapoteza kupitia hawa vijana wa CAG NDIO MAANA NIKASEMA HAWA NI WAHUJUMU UCHUMI WAKUBWA.
na kwa sasa wapo katika ukaguzi wa ofisi za TARURA NCHI NZIMA huko wameisha anza na wanaendelea na hio michezo kwa kuichafua hii institution mpya kabisa
ushauri kwa Mh Rais
1) usifukuze wahusika haraka katika sector /sehemu yeyote mpaka utakapojiridhisha bila shaka kwamba kweli hio sehemu ina hati chafu maana hawa vijana wa CAG usipowapa ushirikiano wa huo uwizi wao ndio huwa wanawaandikia hizo hati chafu na hata wale wenye hati safi sio kwamba ni wasafi bali ni wale waliotio hongo au ushirikiano wa kifedha kwa hao vijana wa NAO
2) TAKUKURU Tembeeni/ wafatilieni hawa vijana kama nilivyosema kwa sasa ndio wameanza kukagua ofisi za TARURA ili kuzuia huo uhuni
3) Ofisi ya TARURA msije mkawaendekeza hawa watu wakianza na michezo yao hio itabidi muendelee na hu mchezo for the rest of your life mtakua watumwa wa hao jamaa kama wana hoja chukua kazitetee mbele huko
AMEN
Hii. Nini?ukiangalia logo yao inaonyesha kama ndio jicho la serikali, but unfortunately hicho ndio kitengo kibaya kutokea katika nchi hii na adui mkuu wa maendeleo ya nchi yetu

Niseme tu huu Ni mwendelezo wa jitihada za kuidhoofisha Ofisi ya CAG. Mlianza kwa kukata almost 50-70% ya budget ya hii Ofisi, why? Sababu mnazijua vizuri ninyi wenyewe. Mmejitahidi Mara nyingi kumpinga ama kuzipinga Reports za CAG bila mafanikio, integrity yao imesimama. Mmetunga sheria ya Madini ila CAG mmekataa asikague, why? Sababu mnazijua wenyewe. Kama Hawa Vijana wa hio Ofisi wanapokea rushwa, hayo Ni matokeo ya kukata budget yao kila mwaka. Juhudi zenu za kuidhoofisha hiyo Ofisi hayo ndio matokeo. Ninachojua, kama CAG anakula rushwa sehemu ambazo TAKUKURU, TISS wapo, hiyo Ni Kejeli kwa vombo vyetu vya Dola na Serikali yake. CAG ndilo jicho la Fedha za Watanzania, ndio maana wametuonesha kuwa Kuna jambazi limeondoka na 1.5 Trillion!
Majungu matupu. Mkurungenzi wa halmashauri alazimishwe kutoa rushwa ili hali anajua zilipo ofisi za TAKUKURU!!? Nimekuja kwenye uzi huu nikidhani kuna ushahidi kumbe porojo tu.
mimi sio mwana siasa tunachotaka ni kitengo kinachosaidia serikali kudhibiti wizi na kama issue hapa ni ukaguzi na kama unaona tunazuia CAG asikague kwa nini sasa serikali kwa hio budget ya CAG ambayo ni ndogo tusitumie kuwatumia wakaguzi wa nje hawa Big 4 kila deloitte PWC ili ukaguzi uwe wa uwazi zaidi na watu wenye professional zao maana hao vijana wa CAG hata hawajui nini maana ya ukaguzi kwao wanachukulia kama mahakama na wao ndio mahakimu wa kuamua na kucharge sh ngapi unatakiwa ulipe
futa CAG au rekebisha hio office yenu
Mkuu wewe ni mhasibu au mtu wa manunuzi?
Naona kuna mambo unaongea lakini una ugeni nayo.
Hujaelewa kuhusu ushiriki wa BIG 4 kwenye ukaguzi wa CAG.mfano nini hakijaeleweka
Mkuu sio rahisi kihivyo hao jamaa wanafanya kazi nzuri toka Mzee Utoh na huyu prof wapo vizuri msiwachafue wanapiga kazi nzuri..
Hujaelewa kuhusu ushiriki wa BIG 4 kwenye ukaguzi wa CAG.
Sehemu ya kwanza ya swali langu bado hujajibu ndugu
maana yangu hapo office ya CAG wakasimama ukaguzi wa nchi nzima hio pesa tukalipa hao Big4 atleast kwa mwaka moja uone nini watakuja nacho then ndio mnarudisha CAG wakiwa wamepigwa msasa na ninajua hapo kuna maswala ya sheria yatahitajikubadilishwa
Umesomea mambo ya uhasibu/ukaguzi wa hesabu au uko kwenye kitengo cha manunuzi??