Office + Warehouse Space Needed!

Joined
Sep 10, 2013
Posts
76
Reaction score
21
Habari!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza! Inahitajika Ofisi yenye uwezo wa ku-accomodate watu 30+ na eneo la Warehouse (Godown).. Viwe sehemu moja! Mitaa pendekezi ni kuanzia Mikocheni hadi Mwenge!

Kama una taarifa yeyote, au unaweza kutuelekeza tafadhali weka namba zako za simu hapa au unaweza kuzituma kwenye ujumbe binafsi (PM) nasi tutakupigia kwa maelezo zaidi!

natanguliza shukrani zangu!

Ahsante!
 
Namba za simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…