office messenger

Bima jamii

Member
Jul 22, 2015
7
6
hi,


beldin insurance consultants tunatangaza nafasi ya ajira kwa kijana wa kike mjini dar es salaam.
sifa.. awe amemaliza kidato cha nne , na analijua jiji vizuri...

tuma ombi kwa leeshaa71@gmail.com
 
hi,


beldin insurance consultants tunatangaza nafasi ya ajira kwa kijana wa kike mjini dar es salaam.
sifa.. awe amemaliza kidato cha nne , na analijua jiji vizuri...

tuma ombi kwa leeshaa71@gmail.com
Ungeainisha na aina ya kazi mkuu, hizi ajira za kuwekwa kwenye mabano na vigezo ni kulijua jiji hizi!! Isijekuwa mnataka kumtwisha binti wawatu mabeseni na mabegi yaliyojaa vipodozi kibao vinavyouzwa ghali kiasi kwamba kutwa kucha anauza 2000 tu huku ametembea km za kutosha halafu kamisheni iwe 100/=. Nawaza tu
 
mkuu naona kidogo kingereza tabu. office messenger sio sales person kama hujui uliza sio kujifanya mjuaji ukajihaibisha bure.
Usitumie nguvu kubwa sana mkuu. Hata ningekuwa sijui hiyo office messenger hiyo ya kulijua jiji kama kigezo kikuu, inanipa ukakasi. Nilishapitia huko kaka naelewa jinsi tunavyoremba matangazo kuvutia wateja/wawekezaji ama wafanyakazi. Badala ya kuni_attack ungefafanua hii kazi ili wasioelewa lakini wapo tayari kuifanya wangeelewa. Ungekuwa umesaidia jamii nzima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom