kumbe kazi wanatafutiana ndugu tu, na wote wanaopost humu hawana ndugu, na wanaoomba kazi wote ndugu zao hawajawatafutia kazi. Anyways kama itatokea mtu yupo interested anakaribishwa.
Asanteni kwa wote mliojitokeza kuomba nafasi hii. Leo tumechukua watu 7 wa kwanza waliokuja PM na wamefanyiwa interview. Kwa sasa namsikiliza boss mwenyewe atasemaje kama bado niendelee kuleta wengine au vp, then ntawajulisha.
Nafasi zipo na nyingine zinakuja nitatangaza kadri watu watakavyohitajika. Usiogope kuomba sio wote ni matapeli, na wala huitaji kulipia kitu chochote kuja kufanyiwa interview. Asanteni.