kumbe kazi wanatafutiana ndugu tu, na wote wanaopost humu hawana ndugu, na wanaoomba kazi wote ndugu zao hawajawatafutia kazi. Anyways kama itatokea mtu yupo interested anakaribishwa.Si utafute hata mdogo wako umpatie iyo kazi
pole jaribu kuomba maelezo jinsi ya kuingia pm. nashindwa kuweka namba ya simu hapaKuna members wengine ni guest hawana account za jf wasaoma tu juu juu hiyo pm wataipataje???
Nafaham ila nasemea ambao wanahitaj kuomba hiyo nafas na hawana acc za jf, kwa nn usiweke hata email kama unashindwa kuweka nmba ya simpole jaribu kuomba maelezo jinsi ya kuingia pm. nashindwa kuweka namba ya simu hapa
Nimekuelewa. Lakini nafasi ni moja tu na sidhani kama itahitaji watu zaidi ya 100 kuomba. Natarajia katika watu 5-10 watakaoanza kuomba, mmoja atapata. Nikiweka email wataomba watu wengi zaidi ya unavyofikiria, na kiukweli hamna mtu atakaechambua hizo email zote. AsanteNafaham ila nasemea ambao wanahitaj kuomba hiyo nafas na hawana acc za jf, kwa nn usiweke hata email kama unashindwa kuweka nmba ya sim
Nimekuelewa. Lakini nafasi ni moja tu na sidhani kama itahitaji watu zaidi ya 100 kuomba. Natarajia katika watu 5-10 watakaoanza kuomba, mmoja atapata. Nikiweka email wataomba watu wengi zaidi ya unavyofikiria, na kiukweli hamna mtu atakaechambua hizo email zote. Asante
Haya all the bestNimekuelewa. Lakini nafasi ni moja tu na sidhani kama itahitaji watu zaidi ya 100 kuomba. Natarajia katika watu 5-10 watakaoanza kuomba, mmoja atapata. Nikiweka email wataomba watu wengi zaidi ya unavyofikiria, na kiukweli hamna mtu atakaechambua hizo email zote. Asante
okHabari zenu. Tunahitaji office assistant katika ofisi ya kampuni ya ujenzi ya wachina iliyopo dar, kairuki street. Umri kuanzia 20-26, me/ke, awe anajua kutumia computer na kazi ndogondogo kama kutoa copy, kuprint, kuscan, binding etc. Awe anajua kuzungumza na kiingereza kidogo au sana kwa sababu wachina hawajui Kiswahili vizuri. Kazi yake itakuwa kutunza files za ofisi, kupeleka barua kwenye ofisi za jirani hapahapa mjini kwa usafiri wa kampuni, n.k
Kama upo tayari plz njoo dm kwa maelezo zaidi.
Deadline 1/6/2018 saa 8 mchana, Ijumaa.
Nimeku PM tayari.Tafadhali angaliaHabari zenu. Tunahitaji office assistant katika ofisi ya kampuni ya ujenzi ya wachina iliyopo dar, kairuki street. Umri kuanzia 20-26, me/ke, awe anajua kutumia computer na kazi ndogondogo kama kutoa copy, kuprint, kuscan, binding etc. Awe anajua kuzungumza na kiingereza kidogo au sana kwa sababu wachina hawajui Kiswahili vizuri. Kazi yake itakuwa kutunza files za ofisi, kupeleka barua kwenye ofisi za jirani hapahapa mjini kwa usafiri wa kampuni, n.k
Kama upo tayari plz njoo dm kwa maelezo zaidi.
Deadline 1/6/2018 saa 8 mchana, Ijumaa.
Habari zenu. Tunahitaji office assistant katika ofisi ya kampuni ya ujenzi ya wachina iliyopo dar, kairuki street. Umri kuanzia 20-26, me/ke, awe anajua kutumia computer na kazi ndogondogo kama kutoa copy, kuprint, kuscan, binding etc. Awe anajua kuzungumza na kiingereza kidogo au sana kwa sababu wachina hawajui Kiswahili vizuri. Kazi yake itakuwa kutunza files za ofisi, kupeleka barua kwenye ofisi za jirani hapahapa mjini kwa usafiri wa kampuni, n.k
Kama upo tayari plz njoo dm kwa maelezo zaidi.
Deadline 1/6/2018 saa 8 mchana, Ijumaa.
ubarikiweNafasi zipo na nyingine zinakuja nitatangaza kadri watu watakavyohitajika. Usiogope kuomba sio wote ni matapeli, na wala huitaji kulipia kitu chochote kuja kufanyiwa interview. Asanteni.