Office 2013

Mkuu inapatikana kwenye torrent sites. Mi niliipakua kutoka Kickass. Unapata pamoja KMS kwa ajili ya activation.
 
Mkuu si utoe pesa tu, ni $135 mi nlinunua last April
 
Wakuu nitapataje office 2013?

Uko Mkoa gani? Kama uko Mkoa ambao nipo ama Mkoa ambao uwa natembelea basi tunaweza kuwasiliana nikakuwekea kwenye machine yako bure


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…