Offer ya website, Database and system Designing

Kontakti peji ina mapungufu mzee; nimekimbilia Contact Us nikupigie simu nakutana na form!! sisemi usiweke form lakini contacts page inatakiwa ikidhi mahitaji tofauti; simu, email ambayo umeweka; lifax kama lipo; google map yaani manjia yote
On serious note: ongeza mobile na google map.
 
(pawahost & jamiisoft);
Should rework on these: remain with only one
 
Kwenye portfolio;
Pamoja na kwamba kuna link ya kuvisit lakini inapendeza kama picha husika yote ikawa link; jaribu kutembelea portfolio kadhaa za IT Sites, even though this is just a design issue, its not that much necessary;
 
Live Chat iondoe au ifanye ifanye kazi;
Zile bendera najua wajua maana yake; ziondoe au make them work
Vivyo hivyo kwa hizo icons za facebook, twitter, etc...
 
Live Chat iondoe au ifanye ifanye kazi;
Zile bendera najua wajua maana yake; ziondoe au make them work
Vivyo hivyo kwa hizo icons za facebook, twitter, etc...
Poa mkuu nimekuelewa, thanks for your contribution
 
Thanx
 
Yes mkuu Kwa makampuni ya kifedha ya hapa bongo ni ngumu Sana kukupa access ya online payment(yaani online money transactions) ndo maana watu wanalia sana na PayPal, kwasababu inakuruhusu kulipa online ila uruhusiwi kulipwa online.
 
APP Bei gani?
 
Nahitaji database kwa ajili ya duka. Itakuwa ni being gani?
 
Naomba nieleze vizuri unataka software ikufanyie nini? Nipe Maelezo kidogo mkuu

Nahitaji iwe inanionyesha mauzo ya siku. Faida na manuni? Nikinunua mzigo niweze ku add items nilizonunua. Inionyeshe kiasi kilichotoka na kiasi kilichobaki
 
Nahitaji iwe inanionyesha mauzo ya siku. Faida na manuni? Nikinunua mzigo niweze ku add items nilizonunua. Inionyeshe kiasi kilichotoka na kiasi kilichobaki
Inawezekana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…