Nikawaida ya madesigner wengi wa website hufanya za watu tu sababu hupata pesa ila zao mmh hawatime nazo.Sasa mkuu mbona nimekupigia sikupati? Je unatengeneza website wakati wewe umesahau kujitengenezea ?
Chief ntakuchek ninawazo moja hivi lahitaji ujuzi wa database then tufanye kitu.Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce systems 3.HR and Hospital Management system
4.Customer and user Databases
5.Bulk SMS system with IPA integration
6 . domain Registration and Hosting.
7.Applications with free playstore publication.
8.Responsive blog + free Domain integration
Namengine mengi, Kwa mawasiliano tucheki 0687535650
Nipo 24 hours mkuu kama hukunipata ni shida za kimtandao tu, and i say sorry for that.
Aisee rekebisha links kwenye site yako ukishatoka home page hauwezi tena kurudi unless utumie arrow ya browser;Karibu Mkuu
Halafu site yako kwa kiwango kikibwa inaelezea domain reg, hosting na web design; hizo system mbona hujadadavua; HR & HMS; Android apps etc...Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce systems 3.HR and Hospital Management system
4.Customer and user Databases
5.Bulk SMS system with IPA integration
6 . domain Registration and Hosting.
7.Applications with free playstore publication.
8.Responsive blog + free Domain integration
Namengine mengi, Kwa mawasiliano tucheki 0687535650
Kwenye site yako fanyia kazi payment mzee; button ya purchase umeiweka kufurahisha umma tu, haifanyi kazi, halafu kwa mazingira ya tanzania; matigopesa na mampesa ndio manjia ya malipo kwa wengi mzee; hayo makadi uliyoyaweka chini yatoe au fanya yafanye kazi.Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo