Hawa wajanja wajanja tu. Domain zote zinazotoka tanzania huwa wananunua tzink, na huwa wanauza kwa elf75 hawa wanajisajili ja virtual servers za nchi za nje huko then wana afiliate na kuanza kuuza huku. Hapo reliability haipo maana wazungu wakidimua mda wanaojisikia wenyewe huna cha kuwashtaki. Na pia haipendezi kusajili domain nje ya nchi wakatu tunazo za kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.