PoaHello wadau, pawahost.com Sasa imetoa offer ya domain Kwa Tsh 17,000 tu Tupigie Sasa Kwa namba 0687535650 au toucheki WhatsApp
Mkuu hiyo website ni ya Nani, mbona umechanganya mada? Sisi binafsi hatuna website kama hiyo, na wala hatutumia open source yeyote kutengeneza website zetu mfano cheki hii na uniambie imetengenezwa Kwa open source gani. ajuco.ac.tzView attachment 414662 kabla sijafanya biashara na nyie nina mashaka sana kama kampuni hii imesajiliwa tanzania na ni tataja sababu ila kama mmesajiliwa tanzania naomba utaje TIN number ya kampuni.
kwanza web site yenu ni wordpress template ambayo nayo hamkuilipia mnaitumia visivyo halali na hamkuitengeneza nyie !
pili ukiosoma maelezo yaliyomo kwenye website yenu ni hakika kwamba either mtakuwa mnachokisema hamkifahamu au hiyo website mmefanya "website phising" wataalam wa usalama wa mtandao wanelewa hilo. kama mnauza product kwa watanzania ni kwa nini lugha inayotumiwa kwenye website yenu pamoja na matangazo yawe na taswira ya wasiokuwa watanzania ?.
tatu sehemu kubwa ya portfolio yenu ina outlist vitu zisivyokuwepo. project zote hapo ni fake ! hebu mtueleze hao wateja 200000 ambao mewahudumia ni kina nani ? watu binafsi au makampuni ?
ngoja niweke pause kwanza
Your official website please ? IF your serious with this business..!Hello wadau, pawahost.com Sasa imetoa offer ya domain Kwa Tsh 17,000 tu Tupigie Sasa Kwa namba 0687535650 au toucheki WhatsApp
PAWAHOST.COM
Namuunga mkono kwa juhudi zake mkuu,but naskitishwa na juhudi duni anazoonyesha kwa uzembe wa kuchoka kuedit.Ahaha, wadau mnampa za uso sana. Acheni kijana ajiajiri bana .
Nimeweka hiyo kusudi mkuu ili nione namna ulivyo fundi wa kuongea, wahenga huwa wanasema, "If you want to win the battle, you have to know well you enemy", mimi nipo smart kuliko unavyofikiria na nafanya kazi na makampuni mkubwa na Nina server zaidi ya 5, na client zaidi ya 10000,na nimekupa mfano tu wa hii website ajuco.ac.tz, jaribu kucheki vizuri is just from scratch no customization at all.Mkuu natambua kua unatafuta wateja but inabid uwe smart.Una template ya EcoHost (EcoHosting | Responsive HTML5 Hosting and WHMCS Template by themelooks) hata bila kuedit unaanza kutafuta wateja. Be smart bro!
Nafurahi kuskia watanzania wanafungua kampuni zao za hosting ili kushindana na kampuni kubwa duniani kama
Bluehost (blue host web hosting)
Godaddy(Domain Names | The World's Largest Domain Name Registrar - GoDaddy IN)
TitanicHost(TitanicHost : Cheap and Reliable Shared Hosting | Reseller Hosting)
But naskitishwa sana kuona ambavyo tunashindwa kua smart.
Tin namba haiwezi kuwekwa mtandaoni mkuu kama unahitaji privately nipm nikupe.View attachment 414662 kabla sijafanya biashara na nyie nina mashaka sana kama kampuni hii imesajiliwa tanzania na ni tataja sababu ila kama mmesajiliwa tanzania naomba utaje TIN number ya kampuni.
kwanza web site yenu ni wordpress template ambayo nayo hamkuilipia mnaitumia visivyo halali na hamkuitengeneza nyie !
pili ukiosoma maelezo yaliyomo kwenye website yenu ni hakika kwamba either mtakuwa mnachokisema hamkifahamu au hiyo website mmefanya "website phising" wataalam wa usalama wa mtandao wanelewa hilo. kama mnauza product kwa watanzania ni kwa nini lugha inayotumiwa kwenye website yenu pamoja na matangazo yawe na taswira ya wasiokuwa watanzania ?.
tatu sehemu kubwa ya portfolio yenu ina outlist vitu zisivyokuwepo. project zote hapo ni fake ! hebu mtueleze hao wateja 200000 ambao mewahudumia ni kina nani ? watu binafsi au makampuni ?
ngoja niweke pause kwanza
Hiyo ni pure coding mkuu, na suala la color Inategemea na user requirements, Sasa huwezi Niambie kwamba niweke color nyeusi Wakati, mteja Anataka rangi nyingine.kama ajuco ndiyo the best you can use then ... itakuwa bado uko nyma sana. sioni designing skills hapo. ila pia naona uko vizuri kwenye color stylesheet. website imejaa wino mwekundu. anyway nikupongeze ila sina uhakika unaweza kushindana .
Hiyo sio kweli mkuu, wabongo wengi huwa wanajitahidi sana kwenye kutengenezewa vitu, ila shida ipo Kwa Watanzania huwa hawataki vitu vya Kibongo, mfano hapa ninapoishi Kuna dogo anashona Viatu, ukiona wewe mwenyewe utashangaa kipaji alichonacho, ila shida anakosa wateja, watu wanaenda kununua Viatu vya kichina ambayo havina ubora.ushuri Tanzania vitu vingi sana vinafanyika kwa low quality mimi nashauri tu watu wawekeze kwenye quality maana websites nyingi za bongo ni mbaya hata product design hazivutii hazina ushindani wa kimataifa mfano angalia products za wajasiriamali wanazotengeneza mfano unga,lishe etc