Offer! Viti vya saloon ya kiume.

Offer! Viti vya saloon ya kiume.

Vandullahvic

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Viti vya saloon ya kiume vipo... Bei cheee.... Design nzuri na ya kisasa.... Na vina ubora wa hali ya juu.... Mzigo ndio umeingia... Wahi sasa.... Hatuuzi kwenye duka tunauzia godown moja kwa moja na bei poa.
Nitaweka baadhi ya picha muvione.
Mawasiliano 0715/0777-875037.
 

Attachments

  • KITI KIKUBWA.jpg
    KITI KIKUBWA.jpg
    280.2 KB · Views: 1,244
  • KITI KIDOGO.jpg
    KITI KIDOGO.jpg
    369.3 KB · Views: 975
Dancani kaka.... sijaruhusiwa kutuma private msg bdo... mm nipo dar ila hata km upo mkoa mwengine tunaweza kuwasiliana nikakutumia....bei kuna vya laki sita na laki nane. Nipigie kwenye simu yangu tuongee vzuri zaidi. Ww upo mkoa gani?.
 
Dancan kaka... we mwambie anipigie simu tu tutaelewana tu.... sahv hapa mjini viti brandnew vinauzwa zaidi ya milion... ila we mwambie asiache kunipigia tutaelewana tu.. ww upo wapi?.
 
Mambo Napita..... Sijaruhusiwa kutuma PM humu bado ni mpya, kwa hyo naomba nitumie msg kwenye simu yangu.... namba zipo hapo. nitakupa full data.
 
Jamani wanaotaka viti vya saloon nawaomba wawahi kuna baadhi ya watu wachache bado hawajaja kuchukua na washanipigia simu wengi wao washakuja... Sipendi kutoa tangazo mtu akakosa bidhaa... Hii bei ni ya offer.... Wanaokuja kuchukua kwangu wameeka madukani mwao wanauza bei ya juu......naomba wale walionipigia na wengine kunitumia pm humu tuwasiliane kabla ya kumaliza...vimebaki viti 53 tu.... Mpk mwezi ujao ndo vitaingia vyengine.... Asanteni sana wapendwa.
 
jaman viti vya saloon kwa anaetaka bei ya offer ni mzigo wa mara hii tu wahini.. vimebaki viti 21 tu.

Ahsanteni
 
ndio mimi ninavyo nilichukua pale uwanja wa taifa wenzangu walikuwa wanavitupa mimi nikakusanya vyangu vipo kwenye video youtube
Sh ngapi,nataka vile walivyokalia wale wana siasa wawili kwa kazi maalum huku sumbawanga
 
Viti vya saloon ya kiume vipo... Bei cheee.... Design nzuri na ya kisasa.... Na vina ubora wa hali ya juu.... Mzigo ndio umeingia... Wahi sasa.... Hatuuzi kwenye duka tunauzia godown moja kwa moja na bei poa.
Nitaweka baadhi ya picha muvione.
Mawasiliano 0715/0777-875037.
vp unatoa risit za efd....maana unauzia mzigo store
 
Hilo tangazo ni la 2013

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hii biashara bado ipo!!!??
Maana nami nataka nifungue saloon kla nahangaika pa khpata vifaa
Au kwa yeyote anaejua vinapopatikana vifaa vya salon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom