G_Host
Member
- Aug 24, 2017
- 16
- 3
Habari zenu wanaJF.
Kwaufupi kuna ndugu yangu amebahatika kupokea barua ya offer of employment kutoka kampuni XXX inayomilikiwa na kikundi cha watu (Private) na ka-report as instructed. Ila yapita wiki 3 na nusu sasa hajapata jibu lolote zaidi ya "tutakupigia tukiwa tayari."
What does this mean?? Na je hii offer of employment imaanisha kashapata (as long as he has acknowledged the offer) au?
Otherwise hana jinsi ni kuvuta subira tu ila muda ndo huoooo unakimbia.
Anaomba ushauri kwa hilo.
Asanteni.