E ELAFU JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 410 Reaction score 151 Nov 30, 2014 #1 Natoa offer ya simu yangu ambayo ni smartphone NOKIA 310. inasupport applications chungu nzima, na ipo katika hali nzuri na haina ubovu wowote. Bei ni 90,000/= tu, nina hitaji la haraka la pesa. 0768932789 0659528724
Natoa offer ya simu yangu ambayo ni smartphone NOKIA 310. inasupport applications chungu nzima, na ipo katika hali nzuri na haina ubovu wowote. Bei ni 90,000/= tu, nina hitaji la haraka la pesa. 0768932789 0659528724
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,743 Reaction score 6,653 Nov 30, 2014 #2 Ina support Whatsapp?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,918 Reaction score 6,726 Nov 30, 2014 #3 Mkuu hiyo simu mbona ina uwezo mdogo sana kwa hiyo bei Hiyo kama unakubali nikupe 30,000/
E ELAFU JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 410 Reaction score 151 Nov 30, 2014 Thread starter #4 Jephta2003 said: Ina support Whatsapp? Click to expand... Inasupport vizuri sana mkuu
E ELAFU JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 410 Reaction score 151 Nov 30, 2014 Thread starter #5 Ze Heby said: Mkuu hiyo simu mbona ina uwezo mdogo sana kwa hiyo bei Hiyo kama unakubali nikupe 30,000/ Click to expand... Acha uongo ndugu yangu. Simu ni nzuri na ina uwezo mzuri tu. Kupita kimya kimya kama hauna point ya msingi ndio uungwana
Ze Heby said: Mkuu hiyo simu mbona ina uwezo mdogo sana kwa hiyo bei Hiyo kama unakubali nikupe 30,000/ Click to expand... Acha uongo ndugu yangu. Simu ni nzuri na ina uwezo mzuri tu. Kupita kimya kimya kama hauna point ya msingi ndio uungwana
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,918 Reaction score 6,726 Nov 30, 2014 #6 ELAFU said: Acha uongo ndugu yangu. Simu ni nzuri na ina uwezo mzuri tu. Kupita kimya kimya kama hauna point ya msingi ndio uungwana Click to expand... Weka specifications mkuu wangu
ELAFU said: Acha uongo ndugu yangu. Simu ni nzuri na ina uwezo mzuri tu. Kupita kimya kimya kama hauna point ya msingi ndio uungwana Click to expand... Weka specifications mkuu wangu
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,392 Reaction score 3,294 Nov 30, 2014 #7 Nimeipenda iyo.. Appliction Chungu nzima....bei nzuri