Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
chief-mkwawa una hakika ni free?
.co.tz (na nyinginezo) bei zake ni chini sana wastani $8.00, Ipende nchi yako tumia domain name za .co.tz
hata mimi nilipotumia email ninayoingilia .tk nikaambiwa tayari email yangu imetumikaActually naona pale zote ni free forever... Ile naona wanashare database na dot.tk ambao ni free domain providers kwa muda mrefu sana. Nilipojaribu kujiunga nikaambiwa tayari ninaakaunti kwao. Nika login kwa taarifa zangu za dot.tk na domain zote nilizonazo kule ninaziaccess huku.
tznic ndo wanasimamia .co.tz na wanaforce iwe elfu 25, mie nataka kuwa registrar wa .co.tz kwa bei ndogo ila haiwezekanikama ni uzalendo tuandamane kampuni ya kitanzania ndo iwe inasimamia hio domain. hebu nikumbushe kampun gan inasimamia hizo domain
nilikuwa natest nimeregister VIMBWAN.GA.ga ni domain ya gabon lakini pia inaweza kutumika worldwide maana jina lakesio baya. kama wewe ni webmaster na huna budget ya kutosha kununua domain itakufaa hii nenda website hii upate domain yako ya bure http://freenom.com
unaweza kupoint nameserver kwenye hosting yako
.co.tz (na nyinginezo) bei zake ni chini sana wastani $8.00, Ipende nchi yako tumia domain name za .co.tz
Mi nimejaribu kajina haka hakuna.ganilikuwa natest nimeregister VIMBWAN.GA
.co.tz (na nyinginezo) bei zake ni chini sana wastani $8.00, Ipende nchi yako tumia domain name za .co.tz
hata mimi nilipotumia email ninayoingilia .tk nikaambiwa tayari email yangu imetumika
unakwama wapi my dear Little AngelC6 kwenye host name unaandika nn? nimekwama hapa wakati naregister..
Nimeregister imekubali kwenye blog, domain zote mbili zinafungua kitu kimoja ya blogspot.co na ya .ga. Ya blogspot ni SEKTA YA MIFUGO TANZANIA na ya .ga ni SEKTA YA MIFUGO TANZANIA jaribu kuzifungua utaona zote zinafungua page moja. Na unaregister kwa mwaka mmoja na kisha unarenew.
Ku renew inaweza kula kwetu kama itakuwa na charges