Offer building design for your home

Offer building design for your home

Joined
Feb 19, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Kuwa miongoni mwa watu wanaojivunia kuwa na nyumba zilizobuniwa kwa viwango vya kisasa .
Sisi tutafanya kazi ya kusanifu (design )nyumba yako katika mfumo unaoutaka wewe katika kukidhi mahitaji yako wewe kwa gharama nzuri. Hii itajumuisha pia ushauri wa kitaalamu juu ya ujenzi bora usiotumia pesa nyingi, matumizi mazuri ya eneo lako....vifaa vya ujenzi na mengine mengi..
Karibu sana kwa huduma zetu.
( interior design , landscape design and building design together with professional consultancy services )

.............
Kwa sasa kuna offer kabambe tulioiandaa kwa ajili yenu katika kipindi hiki...tafadhari tazama picha iloambatanishwa na maelezo haya....

Asante sana...

we are dedicated to providing quality services....

Tafadhari wasiliana.nasi kwa maelezo zaidi.
 
Attachments

  • 1405801760870.jpg
    1405801760870.jpg
    94.4 KB · Views: 361
Wahuni nyie baada ya kutapeli watu wengi Fb mmehamia huku?Kuweni na ubinadamu bwana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wahuni nyie baada ya kutapeli watu wengi Fb mmehamia huku?Kuweni na ubinadamu bwana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kweli hawa ni matapeli;
Kampuni haijajitambulisha yaitwaje
Ipo wapi
Usajili wake
Contacts zake
Kila fani inaambukizwa usanii nchi hii, picha waloiweka ipo copied and pasted toka mtandaoni, why not give people a link to your website if you are really serious with what you advertise?
 
Sorry ndugu kabla ya kusema fanya uchunguzi first af all hakuna mahali umeona imeandikwa kampuni humu na kwajua si kampuni hatuna haja ya kuweka usajili contact zetu zipo na mahali tumeandika . Kama unauhakika tumekopi please tupe kazi yako hata usitulipe tukufanyie hakuna haja ya kulumbana. Na kama unajua mtu tuliyemtapeli mwambie atutafute.
Ndugu kuwa mstaarabu
 
Back
Top Bottom