nina Laptop aina ya Toshiba, niliipeleka kwa fundi ibadilishwe housing, baada ya kubadilishwa housing likaanza tatizo, ukichomeka chaji huku unaitumia screen inacheza na kutoa kama mawimbi, usipochemeka tatizo halipo, kwa uzoefu wako, nini tatizo hapo