wakuu heshima mbele nimekuwa napata ofa za mabarmaid kila ninapoenda kupata mo
ja baridi katika baadhii ya bar ninazopenda kunywa huwa suzipendi ila unakuta wanaleta wanalazimisha kufungua na mimi huwa siwapi offer in return kuonyesha sipendi hizo offer zao, nipeni style ya kuzikataa........?! 🙂