OFA ya website ya biashara kwa Tsh. 250,000 tu!

OFA ya website ya biashara kwa Tsh. 250,000 tu!

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
376
Reaction score
714
Ofa ya website kwa wamiliki wa biashara na watu binafsi pia! Wasiliana nasi kuanzia siku ya leo hadi mwezi wa 12 (December) upate ofa hii ya funga mwaka! Kutoka Tsh 600,000 hadi Tsh 250,000 tu!

Utapata yafuatayo;
  • Website moja nzuri yenye domain ya chaguo lako
  • Email ya biashara (msaada @ biasharayangu . com)
  • Design ya picha zinazoendana na biashara yako
  • Fomu moja ya kupokea oda/ huduma kwa wateja
  • Kitufe cha WhatsApp cha mawasiliano
  • Unlimited Bandwith (hakuna kikomo cha watembeleaji)
Fomu ya oda itaunganishwa na Google sheets, nitakutengenezea fomu nzuri kwa Kiswahili/kiingereza ili iwe nafuu kwa wateja wako kutoa oda. Lakini pia kutakuwa na kitufe (button) cha whatsapp ambacho mteja akibonyeza ataelekezwa moja kwa moja kwenye whatsapp yako ili awasiliane nawe kwa haraka zaidi.

Gharama ya awali: Tsh 600,000
Gharama ya sasa: Tsh 250,000

Wasiliana nami: 0749987122
Napatikana Sinza, DSM. Lakini pia nafanya kazi yako hata ukiwa nje ya DSM.

Website JF.png
 
Mkuu habari, ninaihitaji huduma hii kwa ajili ya NGO ya ndugu yangu. Ningependa kujua ofisi yako ilipo pamoja na details zako ili nijue uhalisia/uhalali wa mtu/kampuni itakayonipa huduma.

Huduma hii inahitajika kwa haraka sana na nipo nje ya Dar Es Salaam.
 
Karibu boss, napatikana DSM-Sinza E. Kama una ndugu/rafiki unaweza mwambia afike ofisini kwa niaba, ni Sinza E barabarani kabisa. Unaweza kunitafuta kwa hizo namba hapo juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom