Ofa ya modem kwa ajili ya kazi/elimu na mengineyo

Ofa ya modem kwa ajili ya kazi/elimu na mengineyo

Tirus

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
50
Reaction score
13
OFA MAALUM YA MODEM YA 3G YA VODACOM KWA AJILI YA INTERNET.

Ndugu Wakala,mfanyabiashara,wanafunzi, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali,

Je unahitaji modem kwa ajili ya kuperuzi internet?Kama jibu ni ndiyo, nitafute na photocopy ya kitambulisho chako.

Gharama yake ni Tsh.30,000

Utanufaikaje:-
1.utapata line maalum kwa ajili ya modem yako
2.Utapata Bando ya 5 GB kwa mwezi
3.Utapata modem yenyewe.
4.Utanufaika na speed ya ajabu ya internet

Tafakari 5GB inapatikana kwa gharama ya Tsh.25,000 hivyo ni kama umenunua modem kwa gharama ndogo sana ya Tsh.5000

PIA tuna line maalum kwa ajili ya internet na mawasiliano kwenye simu za aina mbalimbali kama,Smart Phones,Blackberry Samsung Galaxy,Tecno,Nokia na mengineyo yenye uwezo kama hizo.

Wasiliana name kwa maelezo zaidi kwa kupitia 0768684790, 0755-903676 au nitumie e-mail kupitia: cyrusomolo@gmail.com

Nakutakia Mafanikio mema.
Cyrus Okolah Omolo
Vodacom-Tanzania-Lake zone
 
Mmmmh! are u serious...!!!! n wat if nikiinunua then ikawa kimeo.... nitairudishaje? uza kwa creditbase then kama iko pouwa nitakulipa
 
"line maalum kwa ajili ya internet na mawasiliano kwenye simu za aina mbalimbali kama,Smart Phones,Blackberry Samsung Galaxy,Tecno,Nokia na mengineyo yenye uwezo kama hizo."

naomba ufafanuzi hapo kaka sijaelewa hizo line maalumu zinatofautiana vipi na hizi zingine?
 
Back
Top Bottom