Habari wadau natoa offer ya mafunzo ya kuflash simu aina zote.
Gharama ni elfu kumi tu(10,000)
Muda ni jioni kuanzia saa 12
Nahitaji watu 10 tuuu
Vigezo
1-Uwe tayari
2-Uwe naa kompyuta
3-Uwe na bando la kutosha kuingia internet
View attachment 1029816
Sent using
Jamii Forums mobile app