Ofa: Nina design blog na kukuwekea matangazo (adsense)

Ofa: Nina design blog na kukuwekea matangazo (adsense)

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
Pata kipato kila mwezi
Nina design blog ya kisasa kwa sh 10000 na kukuwekea matangazo ya adsense kwa jina lako kwa sh 50000 ...kwa maelezo zaid ni pm
 
pata kipato kila mwezi
nina design blog ya kisasa kwa sh 10000 na kukuwekea matangazo ya adsense kwa jina lako kwa sh 50000 ...kwa maelezo zaid ni pm
  • Mkuu waweza kutuweke japo link moja ya mfano wa blog uliyo_design !
 
mi shida yangu kubwa ni linkwithin. unanisaidiaje hapo
 
Mkuu wengine hatujui what is adsense na nifaidika nini nayo? Nani anayenilipa? Na ninalipwa hizo adsense kwa hits au constant monthly basis? Toa elimu kidogo hapo tunaweza tukakupa 60k hapo.
 
Back
Top Bottom