OFA: Majeneza Woodwork Ltd

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,182
Reaction score
39,596
Ofa Ofa punguzo la 50% kwa kila jeneza utakalonunua kwetu. Bonus tutakupa na sanda 3. Tupigie simu 0757344936. Karibuni Nyote.
 
Ofa Ofa punguzo la 50% kwa kila jeneza utakalonunua kwetu. Bonus tutakupa na sanda 3. Tupigie simu 0757344936. Karibuni Nyote.
Wachangiaji wa ili bandiko lako siwaoni[emoji12]
 
Wachangiaji wa ili bandiko lako siwaoni
mshana jr atakuja tu, hiyo biashara imenikumbusha Zimbabwe, kuna paster mmoja alisema kila mwenye biashara ambayo inayumba basi atoke mbele ili aombewe biashara yake iende vizuri, muuza majeneza akawa wa kwanza kusimama na kusema biashasharq zake zinayumba, waumini waliwaacha wawili tu, paster na muuza majeneza
 
Hats Mimi ninghetoka
 
Ukinunua jeneza la kuanzia 700,000 Tshs tunakupa na coaster kwa ajili ya waombolezaji BURE ndani ya Dar es Salaam tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…