
? haya basi wale shost zangu wafupi mnatafutwa huku?daka kitu hichi....Chamkieni bahati hiyo haijirudii mara mbili,ofa inaisha mwezi wa nane tarehe nane..
anatafutwa mwanamke wa kuolewa mwenye vigezo hivi
*Uwe mfupi
*uwe mweusi tiiiii
*uwe na kitambi kiasi
*uwe na macho makubwa
*usiwe na pengo hata moja
Ni tabia sio ufupiIla kama wa kafara: Hapo kwenye pengo
Ufupi ndio umenikosesha mme mie kindaki ndaki cheusi...........................Binti africa....
ukaona bora asiwe na pengoUnajua akiwa mfupi alafu anapengo anakua kama mdori
Usisite wewe tuma maombi naweza kukufikiria
Una pengo kwani?😃😃hapo kwenye pengo
Huyu atakuwa mchawi huyu
Kuwa siriaz kidogo mkuuMkuu nipo pm kwako sifa zote ninazo
Userious upi jamani zaidi ya niliouongeaKuwa siriaz kidogo mkuu