habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Hi, wana MMU, nawaomba kwa pamoja tumsaidie ma mdogo wangu arudi kwa mumewe maana mumuwe bado anamuhitaji pamoja kumucha takriban mieizi nane sasa kwa sababu ya chama, wanna watoto wa NNE na wajukuu wawili.
Ktk ukoo namwita mama mdogo, tuna elewana sana, lkn tangu uchaguzi wa serikal za mitaa hadi uchauzi mkuu ulipoisha me na yy tulianza kupishana kwa sababu sikukubaliana na njia alizo?mua kufuata, ameondoka nyumban amemwacha mume na watoto kwa sababu zisizo na mashiko, tulimshauri afanye biashara akakataa akasemma atakka kuwa mwanasiasa, alipo nga'ng'ana tulimwacha,
Alipoanza kwenda kwenye vikao na mikutano ya chama, akawa harudi nyumban, alipoulizwa ak?kasirika na kuondoka nyumban kwake, na mbaya zaid hajapata cheo chochote si ubunge wala udiwan wa viti maluum. Sitaki kusema sana Najua atapita hapa naomba rudi nyumban hicho chama chako kikongwe hakikakusaidia kina wenyewe.
Baba mdogo Anakupenda mno ukoo mzima twajua na ww ni shahidi maana Mara nyingi umekuwa ukishuhudia hilo, bamdogo Mara zote ni MTU wa kukusikiliza tatizo lako nn au umekosa nn? odo rudi nyumban baba mdogo anasema amekusamehe na hana kinyongo na ww.