Raila anayo nafasi kubwa yakushinda.
Muungano wao wa NASA umewajumuisha makabila makubwa yote KE.
Ufisadi mkubwa uliofanywa na serikali Uhuru unachangia pia.
Undugu na ukabila ktk serikali ya Uhuru ni factor mojawapo pia.
KE huwa hawapindishi beleshi kwao ni beleshi na sio kijiko kikubwa.
Sasa hivi wote kama nchi wanapigania zao la
mirungi liruhusiwe UK au walipwe fidia....unaona hiyooo