Radio DW katika matangazo yake leo 1-2-2017 mchana, ilitangaza kuwa Raila Odinga yupo Tanzania kwa mapumziko. Hii si ukweli. Raila yupo Kenya.
Hiyo taarifa ya DW ilikuwa Fake News.
Hivi sasa (wakati na create hii thread), Odinga anahutubia waandishi wa habari jijini Nairobi.
Hiyo taarifa ya DW ilikuwa Fake News.
Hivi sasa (wakati na create hii thread), Odinga anahutubia waandishi wa habari jijini Nairobi.