Odinga atia mkono UKAWA

Ccm,kwa kumsingizia Odinga maovu, hawajui kuwa pia wanamchafua na waziri wao Magufuri
 
Railla hafai anawapiganisha wakenya kila siku halafu yeye anakula bata na familia yake atukome kabisa.

Mnalo ndugu zetu,kama vipi hamieni cdm,kwani lazima Kuaga mjumbe wa shina?
 

Ni kichaa tu anayeweza kuamini matapishi kama aliyoleta uzi huu.
 
mkuu, hili siyo la kuchukulia mzaha,kenya wanapuuzia taarifa kama hizi mwishoe zinawagharimu.

wasiwasi wako nini kudondoshwa kwa CCM au ufadhili wa CHADEMA
 
GAZETI RAIAMWEMA TOLEO 272 LA TAREHE 12 DECEMBER 2012

Raila Odinga sasa amponza Magufuli

Raila Odinga sasa amponza Magufuli Mwandishi Wetu Toleo la 272 12 Dec 2012 Debe la kampeni ya urais yazua mambo serikalini, CCM UAMUZI wa Waziri wa Ujenzi wa Tanzania, Dk. John Magufuli kuungana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai, kumpigia debe mgombea wa urais wa Kenya, Raila Odinga, katika kinyang'anyiro cha urais nchini humo, umezua mijadala ya chini kwa chini ndani ya chama tawala na kwa baadhi ya maofisa waandamizi wa serikali, Raia Mwema, limeelezwa.

Kwa mujibu wa habari zilizoandikwa na baadhi ya vyombo vya habari Kenya na hapa nchini, Desemba 6, mwaka huu, akiwa jijini Nairobi, Waziri Magufuli, aliwaambia Wakenya Raila anayegombea urais kupitia Chama cha Orange Democratic (ODM), anastahili kuwa Rais wa nchi hiyo. Kwa mujibu wa Magufuli, Raila anazo sifa za uongozi kwa ngazi hiyo ya urais.

Alitoa maelezo hayo katika Mkutano Mkuu wa ODM. Ni kutokana na uamuzi huo wa Magufuli kumpigia debe la wazi Odinga licha ya kuwa kwamba yeye ni waziri wa Serikali ya Tanzania ambayo haijatangaza msimamo wake kuhusu mgombea wanayemuunga mkono Kenya, mijadala ya ukosoaji dhidi ya Magufuli imeanza kushika moto ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na maofisa waandamizi serikalini.

Soma zaidi: Raia Mwema - Raila Odinga sasa amponza Magufuli
- See more at: Raia Mwema - Raila Odinga sasa amponza Magufuli


Chadema wamng'ang'ania Waziri Magufuli kuhusu Raila Omolo Odinga : Gazeti Mwananchi Chadema wamng’ang’ania Waziri Magufuli - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-uzinduzi-kampeni-za-odm-kenya-5-print.html
 
hadithi hii za kusadikika hizi! Ila pongezi umejaribu kutunga
 

Kama ni kweli Raila Amechangia kiasi hiko cha fedha kwa minajili ya kumng'oa ibilisi CCM madarakani Mungu ata mbariki sana yeye na uzao wake wote.
CCM ni janga,tushirikiane kuitokomeza na tuwa support wale wote watakao jitokeza kusaidia ibilisi huyu kung'oka,hata kama ni Boko haram, Al-Qaeda, Alshabab, Janjaweed,karubuni sana mtusaidie.
 
Hivi tukio la Mbowe gari lake la KUB kutelekezwa na kukamatwa Mombasa Kenya wakati mwenyewe ameenda Nairobi mbma hadi leo sijapata maana yake?
 
Kwaili linaukweli... ......... Mbowe nimloo wahela sana....mbona huyu jamaa anaweza kuunza hata watoto wake huyu..
 
Hivi tukio la Mbowe gari lake la KUB kutelekezwa na kukamatwa Mombasa Kenya wakati mwenyewe ameenda Nairobi mbma hadi leo sijapata maana yake?

Connect dots.......redbrigade......mbowe.....chadema......raila odinga......odm......milipuko ya mabomu sehem mblmbali tz..........milipuko kenya........... Wote wanashare common interest ya kutaka urais kwa mbinu zozote.
 

Lengo la Habari hii mwandishi alitaka kufikisha salaam na hisia zake katika conclusion yake. Hivi wanapataka wapi confidence ya kujaza watu hofu na chuki dhidi ya mageuzi?
 
Invisible, kama kuna jukwaa la hadithi nafikiri ni vizuri hii ikahamishiwa huko. Hadithi za Shigongo hazitakiwi kuwa na nafasi kwenye jukwaa la siasa!!

Unahangaika tu habari ikowazi na umewekewa na chanzo.tatizo liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Lini umeanza kuwa mganga wa kienyeji? Huu ni uchafu!

 
Uliishia darasa la ngapi? Unashindwa kuandika japo sentensi moja tu ya kiswahili iliyonyoka!!

Kwaili linaukweli... ......... Mbowe nimloo wahela sana....mbona huyu jamaa anaweza kuunza hata watoto wake huyu..
 
Kuna watu au kikundi cha watu kina dhambi sana, yaani kila kukikucha hawaoni raha bila kuzusha uongo dhidi ya wengine. NI DHAMBI KUBWA HII.
Watu kama hawa ndo walioanzisha mambo na kukawa na TENSION kubwa kati ya Tanzania na Rwanda
 
Hatakuwa dj wa kwanza kuwa rais wapo madj kibao ni maraisi. Mambo kama ya madagascar? Papa alikuwa baunsa ikoje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…