Odila Ongara afariki dunia

mabere nyaucho marando
philemoni sarungi
barack obama
raila odinga
obama wa bongo next

Obama wa bongo sidhani kama hili lina tija kwa mustakabali wa maendeleo ya Rorya,Mara au taifa kwa ujumla.Uwepo wa hao vigogo serikalini haujawasaidia Wanarorya na Wajaluo kwa ujumla.
 
Obama wa bongo sidhani kama hili lina tija kwa mustakabali wa maendeleo ya Rorya,Mara au taifa kwa ujumla.Uwepo wa hao vigogo serikalini haujawasaidia Wanarorya na Wajaluo kwa ujumla.
hapana mkuu unakosea!
ukisema msaada usiangalie wajaluo tu,angalia msaada waliotoa kwa taifa husika
lameck airo ndio anawapumbaza wanarorya kwa misaada na kuwaponda watu wengine kwanini hawatoi misaada
rorya haitaendelea kwa misaada kutoka kwa watu binafsi,bali kwa kujibidisha wenyewe kuleta maendeleo ya mtu mmoja then maendeleo ya ujumla ya tafuata tu
 
Tuko pamoja mkuu,napinga wanaoorodhesha majina ya wanarorya waliopo au waliowah kuwa kwenye system ambao hawajafanya mambo ya kuonekana.
 
pole sana mjomba
 
Nyerere aliowaamini wote aliwapatia uwaziri isipokuw huyu marehemu.

R.I.P babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…