Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Siku zote ukisema wenzio uwe tayari kusemwaaa halooooooo labda ye Mungu asijadiliwee
unakumbuka enzi zile alikua anawaanika wenzie ye akaja kuanikwa na wale mabest zake
zile emails hadi ushoga ukaisha